Nadekezwa - Mbosso Video & Song Lyrics


Hohohoo hohoo hoho … Hohohoo hohoo hoho

[Verse 1] 

Salamu ulizo nitumia ah 
Zimenifikia  ah 
Nipo salama hata usijali 
Nalishwa vitamu 
Vinono najilia 
Biliyani yangamia Penzi twa dalikana poo kidali 

Nimekusahau 
Nakumbuka tuu lako jina 
Kidogo angaluu 
Umengoa mizizi sio kukatashina 
Penzi wakapanda dau ah 
Mjini baba pesa fitina 
Mimi ukanidharau Visenti haba mfuko umechina
Nando uwezo wangu ulipo ishia 

[Verse 2] 

Nadeke… Nadeke…

Ningekupa nini tena 
Kula yangu yakupapasia 
(hukumweza ukaatema) 
Mimi sina gali Ningekupa nini tena (ooohoohoo) 
(hukumweza ukaatema) Eeeheeehee

[CHORUS] 

Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… Nadeke…

Yanimashamu shama mtoto kanikabiri ooh 
Hadi na come come kuminambili arufajiri 
Na nishamvesha nyota cheochake kikubwa cha mapenzi 
Kanijaza kanichota kanishika pabayaa 
Nakutadharisha simu zausiku punguza 
Unahatarisha penzi langu moto kuunguza 
Nishakusahau 
Nakumbuka tuu lako jina Kidogo angaluu 
Umengoa mizizi sio kukatashina 
Penzi wakapanda dau anh Mjini baba pesa fitina 
Mimi ukanidharau 
Visenti haba mfuko  umechina 
Nando uwezo wangu ulipo ishia 
Ningekupa nini tena Kula yangu yakupapasia 
{hukumweza ukaatema} 
Mimi sina gali Ningekupa nini tena (ooohoohoo)  
{hukumweza ukaatema} eeeheeehee

[CHORUS] 

Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 
Nadeke… nadekezwa 

WATCH  FULL VIDEO BELOW VIDEO

”Nadekezwa was shot by Tanzanian music video director: Director Kenny(under Zoom Production) and captured in the following locations of Arusha Tanzania;”
1. Ngorongoro Crater National Park2. Meru Waterfalls3. Mountain Meru4. Lake Manyara3. Arusha City Centre For Bookings: Contact +255652088891 Email:bookmbosso@gmail.com

Follow Mbosso_ On:

Instagram:https://www.instagram.com/mbosso_

Twitter:https://twitter.com/mbossokhan/
Kupata Lyrics Zingine Kali - Fuata Linki hii kuelekea kwenye jmexclusives Home Page. Asante!

Comments