Gloria Muliro - Ndiyo Yako Video & Lyrics

Gloria Muliro Ndiyo Yako Lyrics

Oooh oooh ye, yeah ye, yeah

Verse One

Ingelikuwa Mungu anauliza mwanadamu, uuu, 
Jinsi ya kumtendea aaaa, mwanadamu, 
Basi mimi nisingekuwa jinsi nilivyo oooo, 
Hata tena nisingekuwa mahali nilipo oooo,
Ungeambiwa sifai, wangekukanya vikali,
Ungekumbushwa dhambi zangu za kale, Baba yoyo!
Unabariki unayependa aaaa! unabariki unavyopenda aaaa!
Mimi nahitaji ĩĩĩĩ,

Refrain:

Nahitaji ndio ooo, yako yesu tuuu, 
Nahitaji ndio ooo, yako yesu tuuu, 
Ninataka ndio ooo, yako Yesu tuuu 
Yako Yesu, Ndio yako ndiyo itanisimamisha aaa, 
Ndiyo yako ndiyo itanifungulia milango ooo, 

Verse Two

Hakuna sikio lenye funiko jamani iii-ii,
Wala sijaona jicho lenye pazia aaa,
Adui zako wangelikuwa na uwezo ooo, 
Wangefumba macho, wangefunika masikio ooo,
Wasikuone ukiwa juu, wasisikie umebarikiwa ĩĩĩ,
Meza utaandaliwa mbele yao ooo,
Utakula, utakunywa mbele yao ooo, 
Nasema ndio, ndio ya Bwana aaa-aa,

Refrain:

Nahitaji ndio ooo, yako yesu tuuu, 
Nahitaji ndio ooo, yako yesu tuuu, 
Ninataka ndio ooo, yako Yesu tuuu 
Yako Yesu, Ndio yako ndiyo itanisimamisha aaa, 
Ndiyo yako, ndiyo itanifungulia milango ooo, 
Ndio yoyoo ooo, ndiyo yoyoo ooo, ndiyo yako.

Bridge:

Yesu usiposema ndioooo, mali yanguuuu, akili zanguuuu, hazitawezaaaa,
Bwana semaaa, sema ndioooo, yatoshaaaa ĩĩĩ, 

Refrain:

Nahitaji ndio ooo, yako yesu tuuu, 
Nahitaji ndio ooo, yako yesu tuuu, Baba ĩĩĩ,
Ninataka ndio ooo, yako Yesu tuuu 
Yako Yesu, Ndio yako ndiyo itanisimamisha aaa, 
Ndiyo yako, ndiyo itanifungulia milango ooo, 

Watch the Full Ndiyo Yako Video using the Player Below;

This blog is managed and maintained by the jmexclusives agency. To get your work listed, you can Submit your business profile, product details, previous or even most recent YouTube video links (through info@josephmuciraexclusives.com) or even Contact Us for more.