Huniachi | Reuben Kigame & Sifa Voices ft. Gloria Muliro

See the Huniachi Lyrics Below. 

Umeahidi Wewe Bwana Huniachi
Hadi Mwisho wa Dahari Ulisema Huniachi Wewe ni Mungu uliye Mwaminifu Siku Zote Mimi ninaiweka imani yangu kwako Bwana. Nipitapo maji mengi au moto huniachi Unalijua jina langu ewe bwana huniachi Unatengeneza njia hata mito kule jangwani Wewe ndiwe alpha na Omega huniachi Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho was dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye Mwaminifu siku zote Mimi ninaiweka imani yangu kwako Bwana. Uliwalinda wana Israeli kule jangwani Ukamtoa Danieli kutoka tundu la Simba Wewe huwainua na wanyonge siku zote Watuepusha na hatari kila siku usifiwe Umeahidi wewe Bwana Huniachi Hadi mwisho was dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye Mwaminifu siku zote Mimi naiweka imani yangu kwako Bwana Baba hata mama wanaweza kunikana Marafiki naona wanaweza nigeuka Mara kwa Mara maadui wanizunguka Nitaishi kwa ahadi yako Bwana huniachi Huniachi Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi naiweka imani yangu kwako Bwana.

By all means, this blog is managed and maintained by the jmexclusives agency. Above all, which is an Online Digital & Social Media Company. For further understanding, please see more information about the jmexclusives.

Equally important, Submit your business profile, product details, previous or even most recent YouTube video links through our Contacts Page. Especially, for a Free Feature on this Blog or even our main website!